Author: Admin

NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kwa jina la FA amebainisha kuwa timu ya Tanzania ipo vizuri. Hayo alisema mara baada ya Tanzania kupata ushindi dhidi ya Uganda. Mwinjuma amesema kwenye mpira wa miguu lolote linaweza kutokea. Ikumbukwe kwamba kwenye mashindano maalumu ya CECAFA ambayo yalishirikisha timu tatu, Tanzania, Uganda na Senegal bingwa ni Tanzania. Katika mchezo wa Julai 27 2025 uliochezwa Uwanja wa Black Rhino baada ya dakika 90 Tanzania ilipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Senagal. FA alisema: “Timu ipo tayari sijaona timu nyingi zikishiriki.Ila kwa timu ambazo zimeshiriki Uganda na Senegal…

Read More

Aliyekuwa beki tegemeo wa Simba SC, Henock Inonga Baka, ameaga rasmi klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco baada ya kuitumikia kwa msimu mmoja pekee. Kupitia taarifa rasmi ya klabu hiyo, AS FAR imeuthibitisha kuachana na beki huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa heshima na shukrani kwa mchango wake katika kikosi hicho. Inonga alijiunga na AS FAR Rabat msimu wa 2024/2025 akitokea Simba SC ya Tanzania, ambako alikuwa nguzo muhimu katika safu ya ulinzi na mmoja wa wachezaji waliopendwa zaidi na mashabiki. “Tunamshukuru Henock Inonga kwa huduma yake ndani ya kikosi chetu na tunamtakia kila la…

Read More

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria inatarajia kushuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Timu ya Taifa ya Morocco kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake WAFCON katika dimba la Olympic Stadium Rabat Nchini Morocco. Morocco ilifanikiwa kufika kufika hatua hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju 4-2 ya penati dhidi ya Ghana kufuatia sare ya b1-1 huku Nigeria ikitinga fainali baada ya kuwaondosha mabingwa watetezi wa taji hilo Afrika Kusini kwa kuifunga magoli 2-1. Mabingwa mara 9 wa michuano hiyo Nigeria inahitaji kulipa kisasi kwa Morocco na kutwaa taji hilo kufuatia…

Read More

TIMU ya Fountain Gate FC imemtambulisha mchezaji chipukizi Juma Issa Abushiri (Chuga) kutoka timu ya taifa ya vijana ya Tanzania (U-17). Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitano kuwa kwenye timu hiyo ambayo ina uhakika wa kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora msimu wa 2025/26. Akizungumza katika Hoteli ya Tanga Beach Resort jijini Tanga, baada ya kumsainisha mchezaji huyo, Rais wa Fountain Gate, Japhet Makau, amesema kuwa usajili huo ni sehemu ya kuendeleza utamaduni wa timu hiyo wa kuwapa nafasi vijana. Ameeleza kuwa Juma Issa ni zao la timu za vijana za Fountain…

Read More

MSIMBAZI kumeanza kumechangamka kupitia usajili baada ya dirisha la usajili kufunguliwa huku wakiwa hajatangaza mchezaji hata mmoja mpya ambaye ameshasaini kandarasi Simba SC. Mabosi wa Singida Black Stars, wameeleza kuwa Jonathan Sowah ambaye ni mshambuliaji wao wameingia makubaliano ya kumuuza ndani ya Simba SC kwa makubaliano maalumu. Hivyo Sowah anakuwa nyota wa kwanza usajili wake kuwekwa wazi baada ya timu ya Simba SC kuwa kwenye sarakasi nyingi kutokana na wachezaji ambao walikuwa wanatajwa kuwa kwenye hesabu za Kocha Mkuu, Fadlu Davids kutambulishwa kwa timu pinzani ambayo ni Yanga SC. Miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa wanatajwa kuwa kwenye hesabu za Simba…

Read More

Feisal Amekubali Kusaini mkataba wa awali wa miaka miwili na Simba SC lakini amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake na Azam FC. Makubaliano ni kati ya Feisal na Simba mengine ni makubaliano ya klabu kwa klabu. Endapo Azam itakataa, Feisal atalazimika kujiunga na Simba SC mwakani mkataba wake utakapomalizika. Kilichobaki ni Simba kufanya mazungumzo na Azam lli kuvunja Mkataba wa Feisal, lakini kumbuka, Azam wanaweza kukataa kumuuza mchezaji huyo, tusubiri tuone mwisho. https://youtu.be/42DdnFtx3m4?si=BrPyHhUKVga6clC6

Read More

Winga Offen Chikola, amesema kwake itakuwa rahisi kujitangaza na kupata soko la kucheza la kulipwa nje ya Tanzania baada ya kujiunga na Yanga. Chikola anasema hata alipopigiwa simu kwa mara ya kwanza na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, kwake ilikuwa kama ndoto, kwani kwa uwezo wake alikuwa anatamani acheze kwenye klabu ambayo inaonekana zaidi kwenye michezo ya kimataifa kwa ajili ya kujitangaza zaidi. “Hersi, aliongea kama utani hivi, unataka kuendelea kucheza kwenye klabu zako hizo za huko?, lakini ukweli hata mimi mwenyewe nilitamani kucheza klabu kubwa kwa sababu timu nyingine ningechelewa sana kuonekana,” anasema Chikola.

Read More

Yanga Africa sio tu wanaongeza Technicall Quality wanaendelea Kupunguza pia Umri wa Midfield Yao Kuelekea Msimu Mpya..✍️ Out Khalid Aucho (32) In Moussa Balla Conte (21) ✅ Out Chama Clatous (34) In Allasine Kouma (21) ✅ Wanaendelea Kumuongezea Roman Folz (35) Vijana wenye Uchu Mkubwa wa Kufanikiwa Lakini ni rahisi Kuwa Manage. Wameongeza pia height ya hii Midfield,moja ya Silaha nzuri sana wakati unasaka Mafanikio CAF.Wote wapo Kwenye Futi 6.. Jamani hawa watu hawataki tena vibabu, msimu ujao ni Mwendo tu na Vitoto vya 2000. Amendika Wilson Oruma (Mzee wa Jambia)

Read More

LASSINE Kouma kapewa jezi namba 8 ambayo iliwahi kuvaliwa na mastaa wakubwa katika kikosi hicho akiwemo Haruna Niyonzima kiungo aliyekuwa anafanya watu wadhani mpira ni kazi rahisi. Kouma mwenye miaka 21 anazima dili la Yanga SC kuiwinda saini ya Feisal Salum wa Azam FC ambaye ana nguvu kubwa katika mguu wake wa kulia. Katika Ligi ya Mali alifunga jumla ya mabao 7 na kutoa pasi 6 za mabao alikuwa anakipiga ndani ya Stade Malien ni raia wa Mali. Lassine ni namba 8 mpya wa Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz ambaye ni kocha mpya mrithi wa mikoba ya…

Read More

DILI la kiungo wa Azam FC Feisal Salum kuibukia ndani ya kikosi cha Simba SC ni gumu kutokana na mkataba wake uliobaki na gharama za uhamisho ambazo zipo. Ilikuwa inaelezwa kuwa Feisal anatajwa kuwa kwenye rada za Simba SC ilianza hivyo tangu dirisha dogo la msimu wa 2024/25. Ipo wazi kwamba miongoni mwa viungo wazawa wenye uwezo mkubwa uwanjani, jina la Fei halikosekana kwa kuwa amekuwa kwenye mwendelezo wa ubora wake. Msimu wa 2024/25 ni namba moja kwenye kutengeneza pasi za mwisho ambazo alitoa 13 na alifunga mabao manne yote kwa mguu wa kulia. Taarifa zinaeleza kuwa kuna ugumu kwa…

Read More

Klabu ya Simba inaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa klabu ya Mamelodi Sundowns Neo Maema ili kupata huduma yake kwa mkopo kuanzia msimu ujao. Maema mwenye umri wa miaka 29 alijiunga na Masandawana mwaka 2021 akitokea Bloemfontein Celtic amecheza michezo 120 na kufunga magoli 13 na kutoa pasi 14 za magoli. LAKINI PIA: Klabu ya Simba inatajwa kumalizana na beki wa kati wa klabu ya Mamelodi Sundowns aliyekuwa anakipiga kwa mkopo Maccabi Petah Tikva ya ligi kuu ya Israel Rushine De Reuck mwenye umri wa miaka 29. TAZAMA FULL VIDEO IKIELEZEA https://youtu.be/qrKCgIRKH7M?si=W30nLv8qak8Eqpue

Read More

Cv ya Romain Folz Kocha Mpya wa Yanga 2025/2026 Timu ya Wananchi Yanga SC leo, Jumatano Julai 23, 2025, wamemtangaza rasmi kocha mpya ambaye amekabidhiwa jukumu la kukinoa kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC kwa mkataba wa miaka miwili. Kocha huyo ni Romain Folz, raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 35, anayekuja kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Miloud Hamdi aliyeondoka kuelekea Ismaily ya Misri. Romain Folz, ambaye ana leseni ya kiwango cha juu ya UEFA Pro Licence pamoja na Pro Licence ya CONMEBOL, anachukuliwa kama mmoja wa makocha chipukizi wanaopanda kwa kasi barani Afrika, akiwa na…

Read More

Klabu ya Simba inatajwa kumalizana na beki wa kati wa klabu ya Mamelodi Sundowns aliyekuwa anakipiga kwa mkopo Maccabi Petah Tikva ya ligi kuu ya Israel Rushine De Reuck mwenye umri wa miaka 29. Tetesi zinasema nyota huyo anajiunga na wekundu wa msimbazi Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja baada ya mkopo wake ndani ya Maccabi kutamatika. Nyota huyo aliyecheza mechi 4 pekee katika ligi kuu ya Israel kutokana na machafuko yaliyokuwa yanaendelea Nchini humo taarifa zinasema kuwa na chaguo la kocha Fadlu kwa ajili ya kuimarisha safu yake ya ulinzi. Rushine ambaye ni raia wa Afrika Kusini ameshawahi kutwaa…

Read More

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amethibitisha tetesi zilizoshika kasi siku ya jana kuhusu mshambuliaji wa Singida Black Stars Jonathan Sowah kutua unyamani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ahmed Ally amechapisha picha ya DJ maarufu anayefanya kazi na klabu yake DJ Sinyorita huku akiambatanisha na ujumbe ufuatao; “DJ Sinyorita tuwekee wimbo wa sitaki mazoea tumtambulishe Sowah halafu hapo kwenye sitaki mazoea rudia rudia”Ameandika Ahmed Ally.

Read More

Klabu ya Simba inaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa klabu ya Mamelodi Sundowns Neo Maema ili kupata huduma yake kwa mkopo kuanzia msimu ujao. Taarifa kutoka kwa mwandishi mkubwa wa michezo wa Afrika Kusini ni kuwa viongozi wa Simba tayari wameanza mazungumzo na Maema ambaye msimu uliopita amekuwa akikosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Mamelodi. Maema mwenye umri wa miaka 29 alijiunga na Masandawana mwaka 2021 akitokea Bloemfontein Celtic amecheza michezo 120 na kufunga magoli 13 na kutoa pasi 14 za magoli.

Read More

Gwiji wa mchezo wa mieleka Duniani raia wa Marekani Terry Gene Bollea maarufu Hulk Hogan amefariki dunia siku ya leo kiwa nyumbani kwake Florida Nchini Marekani baada ya kupata mshuituko wa moyo. Shirika kubwa la Mieleka Duniani WWE limethibitisha taarifa ya kifo cha mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 71 na kumwelezea  kama sura ya zama za dhahabu katika mieleka aliyekuwa na mchango mkubwa na usiofutika katika tasnia hiyo.

Read More

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿 Dkt. Samia Suluhu Hassan atatoa kiasi cha shilingi Bilioni 1 Endapo Tanzania ‘Taifa Stars’ itabeba ubingwa wa mashindano ya CHAN 2024 yatakayoanza kutimua vumbi Agosti 2 mwaka huu. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amethibitisha hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya michuano hiyo kwenye dimba la Benjamini Mkapa siku ya leo. “Naomba niutangazie umma wa Tanzania kuwa katika kuchagiza hamasa kwa Timu yetu ya Taifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya donge nono la fedha Shilingi Bilioni…

Read More