Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home ยป Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City
    Uncategorized

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    By AdminApril 16, 2026No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    Screenshot
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Nahodha wa Manchester City, Bernardo Silva (31), rasmi ameagwa na klabu hiyo kufuatia kumalizika kwa mkataba wake, akihitimisha safari yake ya kihistoria jijini Manchester.

    Silva, aliyejiunga na City akitokea AS Monaco mwaka 2017, ameacha alama kubwa baada ya kucheza zaidi ya mechi 450 na kuchangia mafanikio ya mataji 15 makubwa, yakiwemo ya msimu wa kihistoria wa Treble (2022/23). Kiungo huyo mbunifu pia aliwahi kukabidhiwa unahodha kufuatia kuondoka kwa Kevin De Bruyne, jukumu alilolitekeleza kwa weledi mkubwa chini ya kocha Pep Guardiola.

    Kuondoka kwake sasa kunahitimisha rasmi enzi ya mmoja wa viungo bora kuwahi kuitumikia City, huku mashabiki wa City wakimpa heshima ya mwisho kwa mchango wake mkubwa ndani ya klabu hiyo. #ChikaoMedia

    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleUjenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Related Posts

    MAGAZETI YA MICHEZO LEO ALHAMISI TAREHE 31-7-2025

    July 31, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.