Nyota wa zamani wa klabu ya Simba SC aliyekiwasha msimu uliopita akiwa Yanga SC Clatous Chama anatarajiwa kufanya makubwa kwenye…
Browsing: KITAIFA
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC ameweka wazi kuwa kwa sasa Yanga SC hakuna suala la kupeana matumaini bali…
MO Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba SC hivyo mipango yote itakuwa inaendelea…
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Septemba 5 2025 kitakuwa kazini kwenye mchezo dhidi ya Congo…
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz anatajwa kuwa na balaa zito kwenye…
Mgombea Udiwani Kata ya Kariakoo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Haji Manara, amekutuna na kufanya kikao na Mtumishi wa Mungu…
Klabu ya Yanga imesema haifanyi utani kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii, hivyo Kocha Mkuu, Romain Folz, amekuwa na ‘programu’…
Simba imefanikiwa kumsajili mlinzi wa kati wa JKT Tanzania na kikosi cha Taifa Stars, Wilson Nangu kwa mkataba wa miaka…
KAULI ya Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids kwamba kikosi chake kinakosa mchezaji mwenye uwezo wa kipekee wa kuamua…
Meneja Habari na mawasiliano Klabu ya Yanga ametangaza kauli mbiu mpya kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2025/26 ikiwa ni…
Mchambuzi wa soka @mzeewajambia ameandika ujumbe kuhusu kauli ya Kocha Mkuu wa Simba aliyoisema hivi karibuni ya kumuhitaji mchezaji mwingine…
Mourinho ameripotiwa kuingiza zaidi ya Tsh 300 bilioni kutokana na kutimuliwa na vilabu vinapaswa kumlipa fidia wakati wa kuvunja kandarasi…
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro، Nurdin Babu (Kulia) akimkabidhi bendera ya Taifa Kanali Geoffrey Mvula (kushoto) Mwenyekiti wa timu za…
MSIMU mpya wa Kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza kesho Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa…
MASHINE za kazi kwa ajili ya msimu mpya wa 2025/26 zimewasili ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha…
Bodi ya Ligi kuu Tanzana (TPLB) imetangangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara kwa msimu wa 2025/2026 inayotarajiwa kuanza…
INATAJWA kuwa Simba SC imefanikiwa kumsajili beki wa kati wa Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Klabu ya…
Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26 unatarajiwa kuanza rasmi Septemba 17, 2025 kwa michezo miwili ya ufunguzi. KMC…
RASMI Simba SC imemtambulisha mshambuliaji mpya ambaye atakuwa katika kikosi hicho kwa msimu ujao unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani…
Ripoti kutoka nchini Kenya zimesema kuwa Kenya Police FC wamealikwa kumenyana na wababe wa Tanzania, Simba SC katika mchezo wa…