Klabu ya Singida Black Stars imeanza mazoezi kwenye ardhi ya ugenini Kigali Rwanda mara tu baada ya kuwasili Nchini humo…
Browsing: KITAIFA
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amesema kuwa Simba SC ya msimu huu wa 2025/26 ni mbovu kuliko ile…
WIKIENDI imechangamka kwenye anga la kimataifa kutokana na timu zote nne kutoka Tanzania kuwa katika kazi. Ijumaa, Uwanja wa 11…
NBC Premier League tayari pazia lake limefunguliwa na Septemba 17 mechi mbili za ufunguzi zilichezwa. KMC 1-0 Dodoma Jiji huu…
Kikosi cha Mnyama wa Afrika Mashariki, Simba SC, kimewasili nchini Botswana kwaajili ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu Romain Folz, wameondoka nchini…
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids asubuhi ya Septemba 17 2025 kimeanza safari ya kuelekea nchini…
YANGA SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz imetwaa taji la Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya watani zao…
SHOMARI Kapombe beki wa Simba SC amebainisha kuwa watajitoa kwa nguvu zote kuzuia makosa kwenye mchezo dhidi ya Yanga SC…
JOTO la Kariakoo Dabi linazidi kupanda kwa kasi ambapo watani hawa wa jadi wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa, Septemba 16…
Mwanariadha Alphonce Felix Simbu ashinda mbio za riadha za dunia ambazo zinafanyika jijini Tokyo, nchini Japani na kumshinda mpinzani wake…
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amethibitisha kuwa siku ya kesho watawakosa wachezaji wawili katika mchezo wa ngao ya jamii…
Staa wa muziki wa bongefleva Mbosso Khan amewashukuru mashabiki,wanachama na viongozi wa Simba kwa kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye tamasha…
Kocha Mkuu wa Simba amezungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho wa dabi ya kariakoo huku akiweka wazi…
Yamebaki masaa kabla ya mchezo wa Kariakoo Dabi kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 ikiwa ni mchezo wa Ngao…
JEAN Ahoua kiungo mshambuliaji namba moja wa Simba SC kwenye mtihani mwingine ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu,…
Mohmaed Hussen Zimbwe Jr beki wa kushoto ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu Romain Folz amesema…
YANGA SC vs Simba SC wababe hawa wawili wanatarajiwa kuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi ndani ya Uwanja Septemba 16…
Kila msimu wa mpira wa miguu unapokaribia kuanza nchini Tanzania, macho na masikio ya mashabiki huzamia kwenye matamasha mawili makubwa…
Kocha wa Simba SC ameweka wazi msimamo na mikakati ya kikosi chake kuelekea mchezo muhimu wa ngao ya jamii dhidi…