KIKOSI cha Simba leo Agosti 28 kinatarajiwa kuwasili nchini kikitokea Misri ambapo kiliweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa…
Browsing: KITAIFA
WAKATI kikosi cha Simba SC kikitarajiwa kurejea Tanzania leo Agosti 28 2025 inaelezwa kuwa tayari benchi la ufundi lina jina…
Akiwa kwenye moja ya mahojiano yake na Sky Sports, aliyekuwa kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson aliwahi kunukuliwa akimtaja…
Je unajua kuwa leo hii ni nafasi nzuri ya wewe kuondoka na mapene?. Man U, Fenerbahce, Brighton na wengine kibao…
ALIYEKUWA beki wa kushoto wa Yanga SC, Nickson Kibabage tayari amejiunga na Singida Black Stars kwa ajili ya maandalizi ya…
WAARABU Wadi Degla SC 0-2 Simba SC ni matokeo kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Agost 26 2025 ikiwa ni maandalizi…
Nahodha wa timu yaTaifa ya wanawake Tanzania ‘Twiga Stars’ Opa Clement ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya SD…
Mshambuliaji Clement Mzize wa Yanga SC ameboreshewa mkataba wake ambapo mshahara wake inatajwa itakuwa ni milioni 40 kwa mwezi akiwa…
Mabingwa wa ligi kuu wanawake Tanzania, JKT Queens wanaowakilisha Tanzania kwenye michuano rasmi ya kimataifa wamepangwa kundi C kwenye michuano…
MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Clement Mzize kuna uwezekano mkubwa akabaki ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2025/26 na atakuwa…
Klabu ya Bandari ya Kenya imeripotiwa kuwa wageni wa Mabingwa wa Tanzania klabu ya Yanga kwenye kilele cha WIKI YA…
Mshambuliaji mpya wa Timu ya Taifa Stars Suleman Mwalimu amewasili jijini Dar es salaam kukamilisha taratibu za kujiunga na klabu…
Klabu ya Yanga imeanza mikakati ya kuhakikisha inapata ushindi katika mchezo wake wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani zao…
Siku ya Simba ni nafasi kubwa ya kuwapa heshima watu waliofanya makubwa ndani ya Simba , tunatambua , tunakumbuka na…
UONGOZI wa Simba SC umebainisha kuwa sababu kubwa ya Simba Day kufanyika Septemba badala ya Agosti ni ratiba kubana huku…
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba SC raia wa Ghana, Jonathan Sowah anatarajiwa kuukosa mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga SC…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wameanza kupiga hesabu kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba…
Droo ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 imepangwa kufanyika tarehe 5 Disemba 2025 katika Kituo cha Kennedy, Washington DC…
Klabu ya Manchester City imepoteza mchezo wa ligi kuu ya Uingereza wakiwa nyumbani dhidi ya Tottenham Hotspur kwa magoli 2-0.…
Ushindi mnono upo Jumamosi ya leo na kampuni kubwa ya ubashiri ya Meridianbet. Tengeneza jamvi lako lenye mechi nyingi sana…