Pesa Atakazolipwa Bingwa wa AFCON 2025 Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe, ametangaza ongezeko kubwa la fedha za zawadi kwa bingwa wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, ambapo mshindi ataondoka na dola za Kimarekani milioni 10, sawa na zaidi ya Shilingi Bilioni 24 za Kitanzania. Hatua hiyo imeelezwa kuwa ni sehemu ya dhamira ya CAF kuendelea kuinua thamani ya soka la Afrika na kuwapa motisha zaidi wachezaji na timu shiriki. Tangazo hilo lilitolewa siku ya Jumamosi kufuatia kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF (EXCO) kilichofanyika mjini Rabat, Morocco, saa chache…
Author: Admin
Haaland Aipiku Rekodi ya Magoli ya Cristiano Ronaldo EPL Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland, ameendelea kuandika historia katika Ligi Kuu ya England baada ya kufikisha mabao 104 ya Premier League, na hivyo kuipiku rekodi ya Cristiano Ronaldo aliyefunga mabao 103 katika mashindano hayo akiwa na Manchester United. Mafanikio haya yanaweka wazi kasi ya kipekee ya Haaland katika ufungaji mabao na nafasi yake katika historia ya EPL. Haaland amefanikisha rekodi hii baada ya kufunga mabao mawili dhidi ya West Ham, katika mchezo ambao Manchester City iliibuka na ushindi wa 3-0. Mabao hayo yaliongeza jumla yake kutoka 102 hadi 104, na…
Michuano ya Mataifa Barani Africa (AFCON) inatarajiwa kuanza kurindima leo huku timu kibao zikijidhatiti kupambana kwa hali na mali ili iweze kuchukua taji hilo. Bingwa mtetezi yeye ataanza kumenyana dhidi ya Mozambique. Bashiri na Meridianbet sasa. Michuano hii itakuwa kwenye muundo wa makundi ambapo timu 24 ndio ambazo zimefuzu kushiriki michuano hii ambapo timu hizo zimegawanywa kwenye makundi 6 yenye timu 4 kila kundi. Na kwa wale ambao watashika nafasi mbili za juu kwenye kila Kundi na timu 4 ambazo zitakuwa kwenye tatu bora ndizo ambazo zitaenda hatua ya 16 bora kwenye michuano hii. Wakati huo huo wewe mteja wa Meridianbet una…
Kocha wa Barcelona Hansi Flick alitaja kutojumuishwa kwa Raphinha kwenye kikosi bora cha FIFA kuwa ni “utani,” akionyesha kutoamini kwamba winga huyo hakujumuishwa baada ya msimu wake wa kipekee wa 2024-2025. Akizungumza katika mkutano na wanahabari kufuatia hafla ya utoaji tuzo, Flick alisisitiza mchango mkubwa wa Raphinha kwa timu. Flick aliangazia jukumu muhimu la Raphinha katika kuiongoza Barcelona kushinda mataji matatu ya nyumbani (La Liga, Copa del Rey, na Spanish Super Cup) katika msimu wa 2024-25. Kocha huyo alibainisha kuwa Raphinha alikuwa mfungaji bora wa pamoja kwenye UEFA Champions League akiwa na mabao 13 na mtoa pasi za mabao saba…
Aime Bigiraneza, mchezaji chipukizi wa klabu ya daraja la pili ya Burundi Les Gêpiers du Lac, alianguka uwanjani na afariki dunia juzi tarehe 20 Desemba 2025. Kisa hicho kilitokea wakati wa mechi ya ligi dhidi ya Amasipiri Never Give Up FC kwenye Uwanja wa kituo cha Ufundi mjini Bujumbura. Bigiraneza inasemekana alianguka uwanjani wakati wa mchezo huo na kukimbizwa hospitalini na baadaye kukutwa na umauti. Wakati ripoti rasmi za matibabu zinasubiri, ripoti za mapema kutoka nchini humo zinaonyesha hali ya kutatanisha inayozunguka janga hilo kuwa huenda mchezaji huyo aliagizwa na makocha wake kucheza na sarafu mdomoni, jambo ambalo linashukiwa kuchangia…
Wakati huu programu za mazoezi za timu za Ligi kuu wanaume zikiwa zimesimama na wachezaji wengi wakiwa kwenye majukumu ya timu zao za taifa kwenye michuano ya AFCON huku wengine wakiwa mapumziko, mchezaji kiraka wa Yanga SC Max Ngengeli ameonekana akifanya mazoezi va timu ya wanawake ya Yanga. Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii Yanga Princess jana walichapisha picha za Max akifanya mazoezi na timu hiyo inayojiandaa na mechi ya Ligi kuu wanawake itakazoendelea kesho tarehe 22 dhidi ya Geita Gold Queens.
Gwiji wa soka la Hispania Sergio Ramos jana alihudhuria mechi ya Real Madrid dhidi ya Sevilla kwenye Uwanja wa Santiago Bernabéu kama mtazamaji. Huu ulikuwa wakati wa kipekee kwani ilikuwa mara yake ya kwanza kurejea Bernabéu kama mtazamaji tangu aondoke Real Madrid mnamo 2021. Real Madrid ilishinda mechi hiyo kwa mabao 2-0 kwa mabao ya Jude Bellingham na Kylian Mbappé.
Rasmi michuano mikubwa ya soka barani Arika, Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025) itaanza kutimua vumbi nchini Morocco kuanzia usiku wa leo Jumapili. Morocco ambao ni wenyeji wa mashindano watashuka uwanjani Prince Moulay Abdellah huko Rabat kurusha kete yao ya kwanza wakati itakapokipiga na Comoros. Morocco inashika nafasi ya 11 kwenye viwango vya soka vya dunia, huku ikishika namba moja kwa Afrika, wakati Comoros yenyewe inashika nafasi ya 108. Timu hizo mbili zimewahi kukutana mara nne, ambapo Morocco ilishinda tatu na moja ilimalizika kwa sare.
Siku ya leo inaenda kubadilisha maisha yako moja kwa moja kwani mechi kibao zipo uwanjani na nafasi ya kuondoka na ushindi ipo mikononi mwako. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kubeti sasa. SERIE A kitawaka haswa ambapo Sassuolo atakuwa mwenyeji wa Torino ambao wanashika nafasi ya 16 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili ilikuwa ni msimu juzi na hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Jisajili hapa. Kwa upande wa Fiorentina yeye atakipiga dhidi ya Udinese ambao wapo nafasi ya 11 huku wenyeji wao wakiwa na hali mbaya msimu huu kwani mpaka sasa wao ndio vibonde…
Arsenal wamerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England (EPL) kufuatia ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Everton katika dimba la Hill Dickinson, jijini Liverpool. Bao pekee la mchezo lilifungwa dakika ya 27 na Viktor Gyökeres kwa mkwaju wa penalti, bao lililotosha kuwapa The Gunners alama zote tatu muhimu. Kwa ushindi huo, Arsenal wamefikisha pointi 39 baada ya michezo 17, wakipanda hadi nafasi ya kwanza, alama mbili mbele ya Manchester City, ambao wameshuka hadi nafasi ya pili baada ya kukaa kileleni kwa muda mfupi. Everton walijitahidi kusaka bao la kusawazisha hasa kipindi cha pili, lakini safu ya ulinzi ya Arsenal iliendelea kuwa imara na kuhakikisha wageni wanaondoka na ushindi.…
Hii hapa ratiba ya AFCON 2025, nchini Morocco ni leo Desemba 21,2025 kazi inaanza na tamati inatarajiwa kuwa Januari 18, 2026 Jumapili, Desemba 21, 2025 Morocco vs Comoros saa 4:00 usiku Jumatatu, Desemba 22,2025 Mali vs Zambia, saa 11:00 jioni Afrika Kusini vs Angola saa 2:00 usiku Misri vs Zimbabwe, saa 5:00 usiku Jumanne, Desemba 23, 2025 Congo Dr vs Benin, saa 9:30 alasiri Senegal vs Botswana, saa 12:00 jioni Nigeria vs Tanzania, saa 2:30 usiku Tunisia vs Uganda, saa 5:00 usiku. Desemba 24,2025, Jumatano Burkina Faso vs Equatorial Guinea, saa 9:30 alasiri Algeria vs Sudan, saa 12:00 jioni Ivory…
Makamu Mwenyekiti wa Bodi na Mwenyekiti wa Klabu ya SImba, Murtaza Mangungu, ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazozunguka mgogoro kati ya klabu na mwekezaji. “Mimi na mwenyekiti wa bodi tunaongea kila mara. Kama ni Mo, mimi mara ya mwisho niliongea naye jana saa 8. Sisi hatuna jambo la siri, timu inafanya mipango yake, kama kuna taarifa inatoka, inatoka waziwazi,” alisema Mangungu. Kauli hii inakuja huku baadhi ya mashabiki na vyombo vya habari vikiwa vinaripoti uwepo wa tofauti baina ya upande wa klabu na mwekezaji wake. Mangungu ameashiria wazi kuwa mazungumzo na uwazi vinaendelea, na hakuna jambo la siri linalofichwa. Taarifa hii…
Manchester United imeripotiwa kuwasilisha malalamiko kwa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kufuatia uamuzi wa Shirikisho la Soka la Morocco kumzuia beki wao, Noussair Mazraoui, kucheza katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Bournemouth. Mashetani Wekundu waliamini kuwa Mazraoui alikuwa bado anastahili kucheza mechi hiyo kwa mujibu wa kanuni za FIFA zinazohusu kuachiliwa kwa wachezaji wanaoshiriki Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Kwa mujibu wa kanuni hizo, mchezaji anapaswa kuachiliwa siku saba kabla ya mechi ya ufunguzi ya taifa lake, huku kipindi rasmi cha kuachiliwa kikianza Desemba 15, siku ambayo Manchester United walipangwa kucheza dhidi ya Bournemouth. Baada ya…
BODI ya Ligi Kuu ya Tanzania imetangaza adhabu kali kwa wachezaji wa klabu ya Simba SC, Jonathan Sowah na Allasane Kante, pamoja na mwamuzi Abdallah Mwinyimkuu, baada ya tukio la ukiukwaji wa kanuni kwenye mchezo dhidi ya Azam FC. Wachezaji Wafungiwa Jonathan Sowah amefungiwa michezo mitano (5) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji Himid Mao wa Azam. Allasane Kante pia amefungiwa michezo mitano (5) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa kosa la kumpiga teke kwa makusudi mchezaji Feisal Salum wa Azam. Tukio hili linadhibitiwa kwa mujibu wa Kanuni ya 41:21 ya Ligi Kuu…
Ratiba Ya AFCON 2025 Hatua Ya Makundi Michuano ya AFCON 2025 inatarajiwa kuanza kutia vumbi Disemba 21 nchini Morocco, ambapo timu 24 zitachuana katika hatua ya makundi, zikisaka nafasi ya kusonga mbele hadi hatua ya mtoano. Ratiba hii imepangwa kutoa mfululizo wa michezo mikali, huku mataifa makubwa yakikabiliana na changamoto za mapema katika safari ya kutafuta ubingwa wa Afrika. Hapo chini ni mwongozo kamili na wenye maelezo ya kina kuhusu Ratiba Ya AFCON 2025 Hatua Ya Makundi, ikiwemo tarehe, muda wa mechi na pambano husika kulingana na taarifa rasmi zilizopo kwenye ratiba ya mashindano. Jumapili • 21 Desemba 2025 Morocco…
Kuelekea katika Sikukuu za mwishoni mwa mwaka, Klabu ya Simba SC imefanya punguzo la Jezi zake za msimu wa 2025-2026 kutoka Sh. Elfu 45000 hadi Sh. Elfu 12000. Punguzo hili ni kwa jezi zote zinazotumika katika michuano ya kimataifa na jezi za zinazotumika katika michuano ya hapa nyumbani.
Washindi wa Tuzo za Mchezaji Bora za FIFA za mwaka 2025 watatangazwa usiku wa leo Jumanne, Desemba 16, mjini Doha, Qatar. Washindi katika vipengele mbalimbali akiwemo Mchezaji Bora wa Kiume na Wanawake wanatarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Walioteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa FIFA wa Wanaume ni pamoja na Ousmane Dembélé, Achraf Hakimi, Harry Kane, na Kylian Mbappé. Walioteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa FIFA wa Wanawake ni pamoja na Sandy Baltimore, Nathalie Bjorn, Aitana Bonmatí, na Lucy Bronze.
Siku zinahesabika kwenda kuyashuhudia moja ya mashindano makubwa katika Bara la Afrika yanayojulika Kama TotalEnergiesAFCON (African Cup Of Nation) yatakayoanza kutimua vumbi tareh 21 Dec 2025 nchini Morocco yanayoandaliwa na kusimamiwa na Shirikisho la soka barani Afrika CAF. Haya ndio mashindano makubwa katika uga wa Afrika ambayo ndio fahari pekee katika soka la Afrika huku yakitazamwa ulimwenguni kote, Dunia ikishudia talanta za kipekee zilizopo africa huku timu mbalimbali zikituma wawakilishi wao kusaka vipaji mahsusi. AFCON ilianzishwa rasmi mwaka 1957, ambapo mashindano ya kwanza yalifanyika nchini Sudan, yakishirikisha timu tatu pekee. Tangu hapo, mashindano haya yamekua kwa kasi kubwa hadi kufikia…
Wakati ligi zikiwa zinasimama kupisha michuano ya mataifa ya Africa AFCON, ni wakati ambao klabu zinatazama ni nani wanamuhitaji kwenye kuongeza nguvu na yule wasie muhitaji katika kikosi. Kumeibuka tetesi zikizungumza juu ya kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba Jean Ahoua kuondoka kwenye kikosi cha timu hiyo katika dirisha dogo la usajili na kuibukia Raja Casablanca, timu ambayo inanolewa na Fadlu Davids ambae aliwahi kuwa kocha wa Simba alieagana na timu hiyo mwanzoni mwa msimu huu. Duru zinasema Fadlu anaihitaji huduma ya Ahoua kwenye kikosi chake cha Raja Casablanca, Jean ambae anasifika kama kwenye uchezaji mzuri kama kiungo mshambuliaji akicheza…
Real Madrid imeendelea kuonyesha nguvu zake kwenye Laliga, baada ya kushinda 2-1 dhidi ya Deportivo Alavés katika mechi iliyofanyika leo. Huu ni ushindi muhimu ambao unasaidia Real Madrid kushikilia nafasi ya pili katika msimamo wa ligi, ikiwa alama nne nyuma ya vinara Barcelona. Kylian Mbappé amefunga bao lake la 17 msimu huu katika mechi yake ya 17 ya ligi, akithibitisha kuwa bado ni miongoni mwa washambuliaji bora wa dunia. Bao la kwanza la mechi lilifungwa na Mbappé dakika ya 24, likifungua njia ya ushindi wa Los Blancos. Bao la ushindi la Real Madrid lilifungwa na Rodrygo, akimalizia dakika ya 76,…