Author: Admin

Baada ya mchezo na Uganda, nahodha wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Neo Maema hakuwa na maneno mengi ya kuongea mbele ya waandishi wa habari zaidi ya kuwauliza wamejisikiaje kupata penalty mbili. “Kwahiyo, mmejisikiaje kupewa penalty mbili ?” alinukuliwa Neo Maema, Nahodha wa timu ya Taifa ya Uganda akiongea kwa hasira kali. Baada ya mchezo huo uliomalizika kwa sare, Afrika kusini wameaga rasmi michuano hiyo huku Uganda wakitinga hatua ya mtoano.

Read More

AZAM FC wakiwa nchini Rwanda ambapo wameweka kambi wanatarajiwa kushiriki michuano ya Inkera Y’abahizi baada ya kualikwa na wenyeji wao APR FC na leo Agosti 19 2025 watakuwa na kibarua kuhesabu mechi nne za ushindani. Ipo wazi kwamba Azam FC inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la kimataifa ikiwa ni katika Kombe la Shirikisho na inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika. Leo Azam FC inatarajiwa kucheza na Police FC, mechi ya pili itakuwa dhidi ya AS Kigali Agosti 21, watakutana na wenyeji APR, Agosti 24 2025. Kete ya nne kukamilisha dakika 360…

Read More

INAELEZWA kuwa kuna uwezekano mkubwa mshambuliaji wa Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids huenda akaachwa katika kikosi hicho kuelekea msimu mpya. Simba SC inatajwa kuwa kwenye mazungumzo ya kuachana na mshambuliaji huyo raia wa Cameroon, Lionel Ateba kutokana na kutoridhishwa na mwendo wake msimu uliopita. Inaelezwa kuwa mshambuliaji huyo anajiandaa kuondoka kambini Cairo, Misri ambako kikosi hicho kimeweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya. Ipo wazi kwamba msimu wa 2024/25 Ateba alifunga jumla ya mabao 13 kwenye ligi ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora kati ya mabao 69 yaliyofungwa na timu hiyo iliyogotea nafasi ya pili…

Read More

Uongozi wa klabu ya Simba SC umetangaza rasmi kuwa Septemba 10, 2025 itakuwa siku ya kufanyika kwa Simba Day, tamasha kubwa barani Afrika linalotumika kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji wapya, wachezaji waliopo pamoja na benchi la ufundi kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Kwa sasa, kikosi cha Simba SC chini ya Kocha Mkuu Fadlu Davids kipo kambini nchini Misri, kikiendelea na maandalizi ya msimu mpya. Msimu uliopita, Simba SC ilionyesha ushindani mkubwa kwenye anga la kimataifa baada ya kufika hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, ambapo ilimaliza ikiwa nafasi ya pili nyuma ya RS Berkane. Vilevile, kwenye Ligi Kuu…

Read More

Msimamo wa Ligi Kuu England EPL 2025/2026 Habariforum inakuletea taarifa mpya kuhusu Msimamo wa Ligi Kuu England EPL 2025/2026. Ligi hii, maarufu kama English Premier League (EPL), imejipatia sifa ya kipekee duniani kutokana na ushindani mkali, ubora wa wachezaji, na umaarufu wa vilabu vinavyoshiriki. Kila msimu, timu kubwa kama Manchester City, Liverpool, Arsenal, Chelsea, Manchester United, na Tottenham Hotspur hujizatiti kuhakikisha zinabaki kileleni, huku timu zingine zikihangaika kutafuta nafasi ya kushiriki mashindano ya Ulaya au kuepuka kushuka daraja. Msimu huu wa 2025/2026, mashabiki wanatarajia burudani zaidi na michezo yenye mvuto wa aina yake, kwani kila timu imejipanga upya kwa malengo makubwa.…

Read More

Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025 | Mechi za Robo fainali CHANI Mashindano ya CHAN 2025 yanaingia katika hatua ya kukatana shoka zaidi baada ya ratiba ya mechi za robo fainali kuthibitishwa rasmi. Hatua hii ni muhimu kwani inaamua timu zitakazofuzu kuingia nusu fainali na hatimaye kuwania taji la mashindano haya. Kwa mashabiki wa soka barani Afrika, hii ni nafasi ya kushuhudia vipaji vya wachezaji wanaocheza ligi za ndani wakionyesha ubora wao kwenye uwanja mkubwa wa kimataifa. Katika makala hii tutaangazia Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025 | Mechi za Robofainali CHANI, pamoja na siku, muda, na viwanja vitakavyotumika kuchezwa…

Read More

Wayne Rooney ameonya kuwa Liverpool wanapaswa kuwa makini kabla ya kukamilisha usajili wa Alexander Isak, huku mshambuliaji huyo wa Sweden akikataa kuchezea Newcastle United. Isak, mwenye umri wa miaka 25, amedhamiria kuondoka Newcastle katika dirisha hili la usajili baada ya kufunga mabao 23 kwenye Ligi Kuu ya England msimu uliopita. Hata hivyo, hatua yake ya kuripoti jeraha ili asijihusishe na mazoezi ya timu imeibua mjadala mkubwa. Mshambuliaji huyo alisafiri hadi Uhispania kufanya mazoezi binafsi katika uwanja wa zamani wa Real Sociedad, wakati Liverpool wakitarajiwa kuwasilisha ofa ya pili katika wiki zijazo. Kwa sasa, Isak amegoma kuchezea kikosi cha Eddie Howe,…

Read More

Klabu ya ENPPI ya ligi kuu Nchini Misri imetangaza kuibuka na ushindi wa mabao 4-3 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa siku ya  jana jijini Cairo, Misri. Klabu ya Simba ilishiriki kwenye mchezo huo kwa mualiko maalum wa klabu hiyo katika sherehe za miaka 40 ya kuanzishwa kwa klabu ya hiyo ya ENPPI. Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri, Jenerali Richard Makenzo, akishirikiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa ENPPI, Bwana Ayman Al-Shari. Licha ya kuwa klabu ya Simba haijathibitisha kucheza mchezo huo lakini timu ya Enppi imethibitisha hilo kupitia ukurasa wao wa Instagram walipoambatanisha…

Read More

MSHAMBULIAJI namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi msimu wa 2024/25 Clement Mzize bado ana mkataba na Yanga SC kuelekea msimu wa 2025/26. Mzize amekuwa akitajwa kuwa katika rada za timu mbalimbali ambapo kuna timu moja kutoka Tunisia inatajwa kuweka dau kubwa mezani kupata saini yake kwa ajili ya changamoto mpya. Rekodi zinaonyesha kuwa msimu wa 2024/25 Mzize alifunga jumla ya mabao 14 kwenye ligi ambapo Yanga SC walitwaa ubingwa na safu ya ushambuliaji ya timu hiyo ilifunga jumla ya mabao 83 ikiwa ni timu iliyofunga mabao mengi. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amebainisha kuwa Mzize ni mchezaji…

Read More

TIMU ya Taifa ya Tanzania inayofundishwa na Kocha Mkuu, Hemed Suleman maarufu kwa jina la Morocco itacheza na timu ya taifa ya Morocco kwenye mchezo wa robo fainali CHAN 2024 Uwanja wa Mkapa. Tanzania inaongoza kundi B ikiwa na pointi 10 baada ya mechi nne ambapo katika mechi hizo ilipata ushindi mechi tatu na kugawana pointi mojamoja kwenye mchezo mmoja Uwanja wa Mkapa. Agosti 22 2025 wababe hawa wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ikumbukwe kwamba Morocco ilikuwa Kundi A imegotea nafasi ya pili ikiwa na jumla ya pointi…

Read More

Klabu ya Fountain Gate imetangaza kuandaa michuano maalumu ya PRE-SEASON INTERNATIONAL TOURNAMENT, michuano yenye lengo la kuzipa maandalizi mazuri timu za ligi Kuu Tanzania. Timu zitakazoshiriki ni Fountain Gate FC, Dodoma JIJI, Tabora Utd, Coastal Union, JKU SC na CITY ABUJA FC. PRE-SEASON INTERNATIONAL TOURNAMENT itaanza Agosti 31 na yataisha Septemba 06, mashindano yatafanyika katika uwanja wa TANZANITE KWARAA, BABATI.

Read More

Burudani za CHAN 2024 zinaendelea hii leo kwa michezo miwili muhimu kupigwa kwenye Kundi A, mechi zote mbili zitapigwa mapema majira ya saa 9 Alasiri katika viwanja viwili tofauti. Kwenye dimba la Nyayo utapigwa mchezo kati ya DR Congo dhidi ya Morocco, timu zote zikiwa na alama 6 na kuwania nafasi ya kuungana na Kenya kucheza Robo Fainali. Wakati kule Moi Kasarani vinara wa Kundi A, watakuwa na kibarua cha kuisaka nafasi ya kuongoza Kundi hilo wakikipiga dhidi ya Zambia ambao tayari wameaga mashindano hayo. Kenya tayari wamefuzu hivyo kibarua pekee ni kusaka alama zitakazofanya waongoze Kundi A, wakati vita…

Read More

Ligi Kuu Uingereza iliyoanza jana itaendelea leo Agosti 17, 2025 kwa mechi tatu za kupigwa huku mechi kali ikiwa ile kati ya Manchester United dhidi ya Arsenal itakayochezwa katika dimba la Old Trafford. Mechi zingine leo ni; Chelsea vs Crystal Palace, saa 10 jioni, kwenye uwanja wa Stamford Bridge Nottingham Forest dhidi ya Brentford kwenye uwanja wa City Ground, Nottingham

Read More

Simba SC imelipa kiasi Cha USD 100,000 sawa na zaidi ya Tsh million 260 Kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji Seleman Mwalimu Kwa mkopo akitokea Wydad Casablanca. Simba SC watalazamika kumlipa Mwalimu mshahara wake wote na pia Kuna kipengele Cha kumsajili moja Kwa moja ifikapo mwisho wa msimu.

Read More

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta anatarajia kucheza mechi yake ya kwanza kwenye Ligi Kuu Ufaransa wakati klabu yake ya Le Havre itapokutana na AS Monaco. Samatta  siku ya leo endapo akipata nafasi ya kuitumikia timu yake atakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kukiwasha katika ligi hiyo akicheza dhidi ya nyota wa zamani wa Man U na Barcelona Paul Pogba na Ansu Fati wanaoitumikia As Monaco kwa sasa.

Read More

“Tulipokea ofa nyingi sana za hapa Afrika kusini kutoka kwa vilabu kama Kaizer Chiefs,Orlando Pirates na vingine vingi lakini vya nje ya Afrika kusini vikihitaji huduma ya Neo Maema” “Tumechagua Simba Sc kwasababu timu hiyo ya Tanzania mipango yake imetuvutia kwanza wanaweza kupigania ubingwa wa ligi lakini wanashiriki mashindano ya CAF kwa ushindani mkubwa hii itatoa fursa kubwa kwa mteja wangu kua imara na kucheza vizuri” steve kapeluschnik, Wakala wa nyota mpya wa Simba SC Neo Maema

Read More

Anayetaka kuliona pambano langu dhidi ya bondia wa ndani anifuate mimi tuzungumze na asipite kwa mtu mwingine yeyote. Niko tayari kucheza lakini lazima ninachotaka kulipwa nilipwe na promota asinikadilie. Kuna bondia akiingia makubaliano ya pambano la Mil 9 anafanya visomo kila siku ili makubaliano hayo yasije kuharibika, sasa huko mimi nimeshatoka. Hassan Mwakinyo

Read More

Wajumbe wa mkutano mkuu TFF wamemthibitisha Wallace Karia kwa kumpigia kura za ndio kwa asilimia 100 kuwa Rais wa soka Nchini kwa miaka mingine minne. Karia alikua mgombea pekee wa nafasi wa Urais, kufuatia wagombe wengine kuenguliwa kwa kukosa vigezo vya kikanuni.

Read More