Tetesi za Usajili Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026 Baada ya msimu wa 2024/2025 kumalizika kwa shamrashamra za mafanikio…
Browsing: KITAIFA
FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amekabidhiwa rungu la kufanya maamuzi kwa wachezaji ambao wanapaswa kuondoka katika kikosi hicho…
KHALID Aucho kiungo mkabaji wa Yanga SC huenda akaongeza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo yenye maskani yake Jangwani.…
FEISAL Salum kiungo mshambuliaji wa Azam FC kuna asilimia ndogo kuondoka kwenye viunga hivyo kutokana na dau ambalo mabosi wamemuongezea…
INAELEZWA kuwa Celestin Ecua ambaye ni kiungo wa Zoman FC huenda akasaini mkataba wa miaka miwili kuwa katika kikosi cha…
MABINGWA mara 31 ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC inatajwa kuwa imefikia makubaliano na kiungo mshambuliaji wa Tabora…
SIMBA SC iliyogotea nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC 2024/25 bado ipo kwenye…
Klabu ya Simba Queens imetangaza kuachana na wachezaji 11 waliohudumu katika kikosi chao katika misimu iliyopita. Wachezaji hao ambao wamepewa…
Tetesi Za Usajili Yanga Leo 2025/2026 | Habari Mpya za Usajili Yanga SC Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara…
Huyu Hapa Kocha Mpya wa Yanga 2025/2026: CV Yake ni Moto Klabu ya Yanga SC imethibitisha rasmi kuwa tayari ina…
KIUNGO wa Yanga SC Pacome Zouzoua ambaye mkononi ana tuzo ya mchezaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na…
KLABU kongwe nchini, Simba na Yanga, zimetembeza panga kwa upande wa wachezaji wa kimataifa kuelekea msimu mpya, huku zikilenga kuboresha…
Klabu ya Simba imeanza rasmi mpango wa kusuka upya kikosi chake kwa msimu ujao kwa kufanya mabadiliko makubwa, ikiwa ni…
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumtoa kwa mkopo kiungo Omary Omary kwenda kuitumikia Mashujaa Fc kwa msimu ujao wa 2025/26.…
KIKOSI cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinaendelea na mazoezi kwenye kambi yake nchini Misri kujiandaa…
Dar es Salaam, Tanzania – Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Msemaji wake, Alikamwe, leo imezindua rasmi kampeni mpya iitwayo…
SIMBA SC katika anga la kimataifa msimu wa 2024/25 imegotea nafasi ya pili kwa kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya…
Mpanzu wa Simba kwenye Rada za Waarabu INAELEZWA kuwa winga chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids ndani ya…
Kocha Mpya wa Yanga 2025/2026: Siri Yafichuka Jangwani! KLABU ya Yanga SC imethibitisha kuwa tayari imepata Kocha Mpya wa Yanga…
Singida BS Yamnyatia Kipa wa Simba Hussein Abel Baada ya Kumaliza Mkataba Singida Black Stars (Singida BS) inayoongozwa na Kocha…