Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home » PACOME KUONGEZA MKATABA YANGA SC
    KITAIFA

    PACOME KUONGEZA MKATABA YANGA SC

    By AdminJuly 14, 2025No Comments2 Mins Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    pacome
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    KIUNGO wa Yanga SC Pacome Zouzoua ambaye mkononi ana tuzo ya mchezaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC msimu wa 2024/25 ndani ya Juni 2025 anatajwa kuwa atasalia ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2025/25.

    Pacome alikuwa kwenye mwendo bora ndani ya uwanja msimu uliopita akiwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi ambaye naye alitwaa tuzo ya kocha bora ndani ya Juni. Ipo wazi kwamba msimu wa 2025/26 Yanga SC itakuwa na kocha mpya baada ya Miloud kuondoka.

    Tayari kocha mpya wa Yanga SC ameshatua ndani ya Dar muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa. Taarifa zinaeleza kuwa kocha mpya ni raia wa Ufaransa anaitwa Julien Chavelier aliyekuwa anaifundisha Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast.

    Pacome inaelezwa kuwa ameongezewa kandarasi ya miaka miwili kuwa ndani ya kikosi cha Yanga SC kilichotwaa ubingwa wa ligi baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700. Pointi kibindoni ni 82 na safu ya ushambuliaji ilifunga mabao 82.

    Pacome ni mabao 12 alifunga na kutoa pasi 10. Alihusika kwenye mabao 22 kati ya 83. Bao lake la 12 alifunga kwenye mchezo dhidi ya Simba SC ilikuwa Juni 25 2025 na alitoa pasi ya 10 kwenye mchezo huo alimpa Clement Mzize ambaye amefikisha jumla ya mabao 14 ndani ya ligi.

    Rekodi zinaonyesha kuwa ni mechi 26 alicheza za ligi akikomba dakika 1,614. Mguu wake wenye nguvu ni ule wa kulia ambao umefunga mabao  7  huku ule mguu wa kushoto ukifunga mabao manne na bao moja alifunga kwa pigo la kichwa. Ni mtoa pasi wa kwanza wa bao ndani ya Yanga SC ilikuwa dakika ya 25 alimpa Maxi Nzengeli dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba.

    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleCHELSEA FC MABINGWA FIFA CLUB WORLD CUP 2025 MBELE YA PSG
    Next Article HUYU HAPA KOCHA MPYA WA YANGA 2025/2026: CV YAKE NI MOTO

    Related Posts

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    April 3, 2026

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    April 3, 2026

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    March 31, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.