Mchezo wa dabi ya jiji la Dar es Salaam kati ya Azam FC na Young Africans S.C. unatarajiwa kupigwa usiku…
Browsing: Azam FC
Klabu ya Azam FC imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji chipukizi, Aimar Hafidh Abubakar, maarufu kama ‘Haaland’, akitokea klabu ya…
Florent Ibenge Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji walijitoa kwa asilimia kubwa licha ya kukosa matokeo kwenye mchezo…
Bodi ya Azam Football Club, imemtangaza, Octavi Anoro, (42), kama Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu, kwa mkataba wa miaka…
Klabu ya Azam FC siku ya leo itakuwa uwanjani majira ya saa 10:15 jioni kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya…
Kiungo mshambuliaji wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania, Feisal Salum maarufu kama FeiToto, ameongeza kandarasi yake ya…
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania @taifastars_ Nassor Saadun ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Azam FC hadi mwaka 2027.…
PAZIA la Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora linakaribia kufunguliwa ikiwa ni siku zinahesabiki…
AZAM FC wakiwa nchini Rwanda ambapo wameweka kambi wanatarajiwa kushiriki michuano ya Inkera Y’abahizi baada ya kualikwa na wenyeji wao…
Leo Alhamisi, kikosi cha Azam FC kikiwa Karatu, mkoani Arusha, kimehitimisha kambi yake ya wiki mbili ya maandalizi ya msimu…
MSHAHARA wa kiungo wa Tanzania ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Azam FC kinachotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi…
Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC, Hasheem Ibwe, amesema moja ya uwekezaji mkubwa wa maana ilioufanya msimu huu ni…
WAKATI Azam FC ikimpigia hesabu aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama ikiwa ni pendekezo pia la kocha wa timu…
Klabu ya Azam FC Julai 5, 2025 imemtambulisha rasmi Florent Ibenge kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi hicho, kupitia ukurasa…