Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home » Ibenge Afunguka Sababu ya Azam Kupoteza Dhidi ya Wydad, Asema Wakija…!!
    KIMATAIFA

    Ibenge Afunguka Sababu ya Azam Kupoteza Dhidi ya Wydad, Asema Wakija…!!

    By AdminNovember 29, 2025No Comments2 Mins Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    ibenge
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Florent Ibenge Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji walijitoa kwa asilimia kubwa licha ya kukosa matokeo kwenye mchezo wa CAF Confideration Cup.

    Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex ulisoma Azam FC 0-1 Wydad Casablanca ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi.

    Bao la ushindi lilifungwa na Nordin Amrabat dakika ya 57 kipindi cha pili lilidumu mpaka mwisho wa mchezo ikiwa ni mechi ya pili Azam FC kupoteza baada ya kuanza ugenini kufungwa 2-0 dhidi ya AS Maniema.

    Ibenge amesema wachezaji walifanya kazi kubwa ndani ya uwanja wanastahili pole licha ya kukwama kupata ushindi.

    “Ninaweza kusema pole kwa wachezaji kwa kuwa walikuwa katika mchezo mzuri, walikimbia sana na mwisho tumekosa matokeo hivyo makosa tutafanyia kazi kwa mechi zijazo,”.

    Katika Caf Confideration Cup 2025/26 Azam FC wakiwa kubdi B msimamo upo hivi:-
    1. Wydad Casablanca pointi 6 mechi mbili ushindi zote
    2. Maniema Union pointi 3 mechi moja
    3. Azam FC pointi 0 mechi 2 poteza zote
    4. Nairobi United mechi 1 pointi 0 poteza

    Ni timu mbili ambazo zitamaliza nafasi za juu zitasonga mbele hatua ya robo fainali. Ikitokea timu zikawa sawa katika pointi hapo mshindi atatazamwa kupitia h2h dhidi ya timu wanayolingana pointi. Tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.

    Kwenye mchezo wa jana kiungo Aziz Ki mara baada ya mchezo kukamilika alipatwa na tatizo ma kuwahishwa hospitali kwa matibabu zaidi.

    Azam FC CAF Wydad Casablanca
    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleMutale Awa Lulu mchezo ujao dhidi ya Stade Malien
    Next Article Nyota wa zamani wa Manchester United Afungiwa miezi 6.

    Related Posts

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    March 18, 2026

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    March 18, 2026

    Drone Yashambulia Tangi la Mafuta Karibu na Uwanja wa Ndege wa Dubai.

    March 16, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.