Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home ยป Nyota wa zamani wa Manchester United Afungiwa miezi 6.
    KIMATAIFA

    Nyota wa zamani wa Manchester United Afungiwa miezi 6.

    By AdminNovember 29, 2025No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    manchester united
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Rais wa klabu ya Estudiantes Juan Sebastian Veron amepigwa marufuku ya miezi sita na Chama cha Soka cha Argentina kwa sababu alikataa kusimama kutoa heshima kwa mabingwa wapya Rosario Central.

    Kiungo huyo wa zamani wa Manchester United na Chelsea pamoja na wachezaji wake wa Estudiantes walikuwa wakipinga Rosario kutangazwa ‘Bingwa wa Ligi’ kutokana na mabadiliko ya sheria yaliyofanywa na FA ya Argentina wiki iliyopita.

    Wachezaji wa Estudiantes waliwapa kisogo wachezaji wa Rosario walipoingia uwanjani kabla ya mechi yao ya mtoano ya hatua ya 16 bora ya ligi ya Clausura Jumapili iliyopita, ambayo vijana wa Veron walishinda 1-0.

    Veron amefungiwa miezi sita kutojihusisha na shughuli zote zinazohusiana na kandanda”, wakati wachezaji “waliojihusisha na tabia hiyo mbaya” wamesimamishwa mechi mbili kuanzia msimu ujao.

    Manchester United
    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleIbenge Afunguka Sababu ya Azam Kupoteza Dhidi ya Wydad, Asema Wakija…!!
    Next Article Neymar JR acheza na kutupia licha ya kuwa na jeraha la goti.

    Related Posts

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    March 18, 2026

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    March 18, 2026

    Drone Yashambulia Tangi la Mafuta Karibu na Uwanja wa Ndege wa Dubai.

    March 16, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.