Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home » Drone Yashambulia Tangi la Mafuta Karibu na Uwanja wa Ndege wa Dubai.
    KIMATAIFA

    Drone Yashambulia Tangi la Mafuta Karibu na Uwanja wa Ndege wa Dubai.

    By AdminMarch 16, 2026No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Mamlaka za Dubai zimesema kwamba moto umeteketeza eneo la karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai baada ya shambulio la kutumia drone kugonga tangi la mafuta karibu na Uwanja huo wa Ndege. 

    Moto ulizuka baada ya drone kushambulia na kugonga tangi la kuhifadhia mafuta, jambo lililosababisha moto mkubwa katika eneo hilo. 

    Shambulio hili lilihusiana na mzozo unaoendelea wa kijeshi katika eneo la Mashariki ya Kati. 

    Timu za Zimamoto na Uokoaji za Dubai zinashughulikia tukio hilo na juhudi zinaendelea ili kudhibiti moto huo.

    Mamlaka zimekuwa zikichukua hatua zote muhimu kuhakikisha usalama kwa watu katika eneo hilo. 

    Ripoti za awali zinasema hakuna mtu aliyepata majeraha hadi sasa kutokana na tukio hili. 

    Mamlaka ya Anga ya Dubai imesema shughuli za baadhi ya Ndege zilisimama kutua au kuingia katika uwanja wa ndege kwa muda.

    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleHawa Hapa Mabeki wa Taifa Stars Walio Majeruhi
    Next Article Makocha wa Simba na Yanga Wagawana Tuzo za Mwezi Februari

    Related Posts

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    March 18, 2026

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    March 18, 2026

    “Reece James ni beki bora zaidi wa kulia Duniani”-Rosenior.

    March 15, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    Makocha wa Simba na Yanga Wagawana Tuzo za Mwezi Februari

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.