Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home » Chico Ushindi Afariki, Soka la Afrika Lapata Pengo
    KIMATAIFA

    Chico Ushindi Afariki, Soka la Afrika Lapata Pengo

    By AdminDecember 13, 2025No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Mshambuliaji wa zamani wa klabu za TP Mazembe, AS Vita Club na Yanga SC, Chico Ushindi Wakubanza, amefariki dunia leo mchana akiwa nyumbani kwao Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

    Chico Wakubanza alikuwa mmoja wa washambuliaji waliopata heshima kubwa katika soka la Afrika na Kati na Mashariki, akitambulika kwa uwezo wake wa kufumania nyavu, nguvu ya kimwili na uzoefu mkubwa katika ligi mbalimbali. Enzi zake akiwa uwanjani zilimpa jina la “Striker la Mabao”, akiacha alama isiyofutika kwa mashabiki na vilabu alivyovitumikia.

    Kifo chake ni pigo kubwa kwa familia, marafiki, jumuiya ya soka barani Afrika na mashabiki wa Yanga, TP Mazembe na AS Vita Club.

    Pumzika kwa Amani ‘Striker’ la Mabao, Chico Wakubanza Ushindi 🕊️

    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleAziz Ki aandika ujumbe mzito kwa Hamisa Mobetto siku yake ya kuzaliwa.
    Next Article Salah ni Mwendo wa Kuvunja na Kuweka Rekodi Tu

    Related Posts

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    March 18, 2026

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    March 18, 2026

    Drone Yashambulia Tangi la Mafuta Karibu na Uwanja wa Ndege wa Dubai.

    March 16, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.