Mchezo wa Madagascar na Afrika ya Kati umemalizika kwa Madagascar kushinda 2-0. Masikitiko makubwa ni…
Klabu ya Royal Charelorioi ya nchini Ubelgiji imetuma ofa ya USD 750,000 (Tsh Bilioni 1.9)…
“Yanga walishataka kumpeleka Clement Mzize huko Singida kwa mkopo na tayari walishamuingiza kwenye Mfumo ‘system’…
Everton wametangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Jack Grealish kwa mkopo kutoka Manchester City. Mwingereza…
Bodi ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) imeipiga Kenya faini ya dola…
KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26 ni Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC ameachiwa msala…
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi kuwa tamasha lao la kila mwaka la ‘Singida…
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Alexander Isak amesisitiza kuwa hatacheza tena Newcastle – hata kama…
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa kuna ugumu…
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetishia kuhamisha mechi zilizosalia za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika…
Rais wa Kenya, William Ruto, leo amekutana na kikosi cha Harambee Stars na kutoa ahadi…
Baada ya miaka 9 ya kuwa kwenye mahusiano, nguli wa soka Cristiano Ronaldo amemvalisha rasmi…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wameanza…
Ifahamu Gaborone United Wapinzani wa Simba Ligi ya Mabingwa CAF 2025/2026 Wababe wa kulisakata kabumbu…