Timu ya Mamelodi Sundowns imemuaga rasmi mchezaji wao, Neo Maema aliyetumikia klabu hiyo kwa muda wa miaka 4. Kwa sasa,…
Browsing: KITAIFA
MSHAHARA wa kiungo wa Tanzania ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Azam FC kinachotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi…
Uongozi wa Yanga SC umetoa ufafanuzi kuwa mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa CCM tarehe 12 Agosti 2025, ulitolewa na…
Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi mchezaji Naby Camara raia Guinea kuwa mchezaji wao kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Al…
Ukiwa muwekezaji mzuri wa kubashiri michezo, basi unatambua kwamba kila nafasi ya kuongeza ushindi unayoipata ni kama dhahabu. Meridianbet, kwa…
Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC, Hasheem Ibwe, amesema moja ya uwekezaji mkubwa wa maana ilioufanya msimu huu ni…
Mchezo wa Madagascar na Afrika ya Kati umemalizika kwa Madagascar kushinda 2-0. Masikitiko makubwa ni namna mashabiki wa soka Tanzania…
“Yanga walishataka kumpeleka Clement Mzize huko Singida kwa mkopo na tayari walishamuingiza kwenye Mfumo ‘system’ ya TFF ila ni mimi…
KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26 ni Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC ameachiwa msala kwenye suala la usajili baada…
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi kuwa tamasha lao la kila mwaka la ‘Singida Big Day’ litafanyika mwaka huu…
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa kuna ugumu wa kufanya sherehe za wiki…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wameanza kazi kupima kikosi chao wa…
Ifahamu Gaborone United Wapinzani wa Simba Ligi ya Mabingwa CAF 2025/2026 Wababe wa kulisakata kabumbu wa Tanzania Bara na Visiwani…
Mshambuliaji mpya wa Simba Jonathan Sowah jana alifungia bao timu hiyo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Carabat FC. Simba…
Klabu ya kaskazini mwa London ya Tottenham sasa inahusishwa na mmoja wa washambuliaji chipukizi bora zaidi wa kiBrazil, Savinho wa…
Je unajua kuwa zimebakia siku 4 pekee za kuanza kumsaka bingwa wa Laliga Hispania?. Basi anza safari yako ya ushindi…
SIMBA SC bado ipo sokoni kusaka wachezaji wapya kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kikosi cha…
….. OFA IMEKATALIWA. Jana tulilala na neno hili. Barua za Waarabu zimeendelea kupishana pale Jangwani. Inaingia barua hii, baada ya…
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amesema kuwa wamefanya maboresho makubwa kwenye kikosi kwa kupata saini za wachezaji ambao…
Mshambuliaji na nyota wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo amemrushia maua yake mchezaji mpya wa Arsenal, Viktor Gyokeres akimuita mwanasoka ‘Special’. Gyokeres…