Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home ยป Kocha wa Mamelodi Ageukia Uchungaji
    KIMATAIFA

    Kocha wa Mamelodi Ageukia Uchungaji

    By AdminNovember 13, 2025No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Kocha wa zamani wa Mamelodi Sundowns Ian Gorowa ameachana na kazi hiyo ya kufundisha mpira wa miguu alikojipatia umaarufu na kuwa muhubiri wa Injili.

    Mshambuliaji huyo wa zamani wa Cape Town Spurs mwenyewe miaka 53, amefichua kuwa sasa ni mchungaji wa wakati wote katika kanisa la Apostolic Faith Mission, na hana mpango wa kurejea kwenye soka.

    Kazi ya mwisho ya Gorowa katika soka ilikuwa mwaka wa 2014 kama kocha wa timu ya taifa ya Zimbabwe, karibu muongo mmoja baada ya kuachana na Sundowns.

    “Ndiyo, nimeachana na ukocha kama taaluma sitarudi ,Ninashinda roho sasa,Safari kama mchungaji imekuwa nzuri sana. Ninaifurahia inatimiza na kuimarisha roho ya mtu,” amesema Kocha huyo mstaafu.

    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleHawaongozi Ligi, Ni Wamecheza tu Mechi Nyingi
    Next Article Azam FC Yapania Kufanya Mageuzi, CEO Mpya Ateuliwa na Msaidizi Wake

    Related Posts

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    March 18, 2026

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    March 18, 2026

    Drone Yashambulia Tangi la Mafuta Karibu na Uwanja wa Ndege wa Dubai.

    March 16, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.