Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home » Edo Kumwembe Asema Miguu Ishaanza Kumsaliti Chama
    KITAIFA

    Edo Kumwembe Asema Miguu Ishaanza Kumsaliti Chama

    By AdminMarch 3, 2026No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    Edo Kumwembe: Miguu Ishaanza Kumsaliti Chama
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Mchambuzi nguli wa soka nchini, Edo Kumwembe, ametoa tathmini yake kuhusu kiwango cha kiungo wa Simba SC, Clatous Chota Chama, katika mchezo wa dabi dhidi ya Yanga uliopigwa hivi karibuni. Katika uchambuzi wake, Kumwembe amebainisha kuwa ingawa Simba walionyesha uhai kupitia kwa Inno Loemba, hali imekuwa tofauti kwa upande wa Chama ambaye amekuwa mhimili wa timu hiyo kwa miaka mingi.

    ​Katika andiko lake, Edo Kumwembe ameeleza upungufu huo wa kiwango cha Chama kama ifuatavyo:

    SOMA: Hii Hapa Orodha ya Waamuzi wa Dabi ya Kariakoo 2026

    ​”Katikati ya uwanja Inno Loemba alionekana kuwapa Simba uhai huku akicheza sambamba na kaka yake, Clatous Chotta Chama. Hata hivyo ni wazi miguu imeanza kumsaliti Clatous. Alikuwa anapoteza mipira ovyo. Alikuwa anazidiwa kasi na Damaro. Hakuonekana kuwa na nguvu au ubora wa kuamua mechi kama alivyokuwa anafanya miaka michache iliyopita.”

    ​Maoni haya ya “Legend” yanakuja wakati klabu zote mbili zikiendelea kurushiana maneno ya kejeli, huku Meneja wa Habari wa Simba, Ahmed Ally, akidai kuwa Yanga walikuwa na bahati ya kukwepa kipigo. Kwa upande mwingine, Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe, amewatuhumu Simba kutumia mbinu za nje ya uwanja na ushirikina ili kulazimisha sare hiyo ya bila kufungana.

    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleAlly Kamwe: Kariakoo Dabi Ilijawa na Ushirikina Usio wa Lazima
    Next Article Mukwala Hakuna wa Kumzuia Libya, Gari Limewaka Hatari

    Related Posts

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    April 3, 2026

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    April 3, 2026

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    March 31, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    Makocha wa Simba na Yanga Wagawana Tuzo za Mwezi Februari

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.