Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home » YANGA YAZIKATAA OFA NONO ZA KUMUUZA DIARRA KWA TIMU HIZI
    KITAIFA

    YANGA YAZIKATAA OFA NONO ZA KUMUUZA DIARRA KWA TIMU HIZI

    By AdminJanuary 11, 2026No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    yanga
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link
    Klabu ya Yanga SC imezua taharuki katika soko la usajili barani Afrika baada ya kuripotiwa kugomea ofa mbili nono kutoka kwa vigogo wa soka la Kaskazini, Zamalek ya Misri na CR Belouizdad ya Algeria, zilizokuwa zikimhitaji mlinda mlango wao namba moja, Djigui Diarra.
    Matajiri hao wa Kiarabu wamevutiwa na kiwango cha hali ya juu alichokionyesha kipa huyo mwenye umri wa miaka 30 kwenye michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco, ambapo alikuwa mhimili mkuu wa timu ya taifa ya Mali kabla ya kutolewa katika hatua ya robo fainali.
    ​Licha ya ofa hizo kutajwa kuwa na thamani kubwa, uongozi wa Yanga umetoa jibu la mkato la “Diarra is not for sale” (Diarra hauzwi), ukisisitiza kuwa kipa huyo bado ana mkataba wa kudumu mpaka mwaka 2027.
    Hatua hii inatafsiriwa kama mkakati wa Yanga kulinda heshima yake na kuimarisha kikosi kuelekea hatua muhimu za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), huku wakituma salamu kwa wapinzani wao kuwa “Screen Protector” huyo ni sehemu ya mipango yao ya muda mrefu na haitashawishika na fedha yoyote kumpoteza kipa huyo katikati ya msimu.
    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleMajina ya waliochaguliwa JWTZ 2026 Jeshi la Ulinzi la Wananchi
    Next Article MIANO: KINDA MTANZANIA ALAMBA DILI NONO ULAYA

    Related Posts

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    April 3, 2026

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    April 3, 2026

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    March 31, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.