Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home » Watanzani wanunua kila goli la Stars AFCON kwa Milioni 100.
    KITAIFA

    Watanzani wanunua kila goli la Stars AFCON kwa Milioni 100.

    By AdminDecember 27, 2025No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    stars
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali ambao wameahidi kutoa Shilingi Milioni 100 kwa kila goli watakalofunga Taifa Stars siku ya leo dhidi ya Uganda na ile ya Tunisia Desemba 30 katika mashindano ya Afcon yanayoendelea nchini Moroco.

    Makonda amesema hayo alipokuwa akizungumza na wachezaji na benchi la ufundi la Stars kuelekea mchezo wao dhidi ya Uganda utakaochezwa siku ya leo katika dimba la Al Madina majira ya saa 2;30 usiku.

    “Kuwathibitisha kuwa Watanzania wako pamoja na nyinyi, juzi na jana nimepokea simu za Watanzania ninaowaamini na kuwaheshimu wameniambia nenda kawaambia vijana wa Taifa Stars tupo nao na kuanzia mechi ya Uganda na Tunisia Watanzania wananunua goli moja Sh100 milioni,” amesema Makonda.

    Taifa Stars inakutana na Uganda na Tunisia, baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya Nigeria kwa bao 2-1 mchezo uliochezwa Desemba 23, 2025.

    Taifa Stars
    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleMajeraha kumweka nje Alexander Isak kwa miezi miwili.
    Next Article Miaka 3 baada ya kuuzwa Everton, James Garner kurejea Man U

    Related Posts

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    April 3, 2026

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    April 3, 2026

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    March 31, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.