Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home ยป TAREHE HII YATANGAZWA MECHI ZA LIGI KUU KUREJEA
    KITAIFA

    TAREHE HII YATANGAZWA MECHI ZA LIGI KUU KUREJEA

    By AdminNovember 4, 2025No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara TPLB imetangaza rasmi kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu tarehe 08 mwezi Novemba, 2025 baada ya kusitishwa siku kadhaa zilizopita kutokana na sababu za kiusalama.

    Novemba 8 itachezwa michezo miwili ambapo Pamba Jiji atamkaribisha Singida BS CCM Kirumba saa 10 jioni na saa 01 Jioni utachezwa mchezo wa pili kwenye dimb la Meja Isamuhyo kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba.

    Wananchi watashuka dimbani KMC Complex Novemba 9 kucheza dhidi ya KMC saa kumi jioni wakati Azam FC akiwa mgeni wa Namungo Majaliwa Stadium saa 1 Jioni.

    TFF
    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleGAMONDI KUINOA TAIFA STARS KUELEKEA AFCON 2025
    Next Article SIMBA KUANZIA NYUMBAN MECHI YA KIMATAIFA, DHIDI YA PETRO DE LUANDA

    Related Posts

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    April 3, 2026

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    April 3, 2026

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    March 31, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.