Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home » MALI MPYA YA SIMBA NDIO NAHODHA WA TIMU YAKE YA TAIFA
    KITAIFA

    MALI MPYA YA SIMBA NDIO NAHODHA WA TIMU YAKE YA TAIFA

    By AdminAugust 8, 2025No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba amethibitisha kuwa mchezaji wao mpya ameanza kwenye kikosi cha timu yake ya Taifa katika mashindano ya CHAN na ndiye atakayekuwa Nahodha wa Taifa lake.

    “Mchezaji wetu mpya anaanza kwenye mechi ya Taifa lake na tena ndio nahodha…. Automatic hii timu yetu ya pii kushangilia kwenye CHAN”Ameandika Ahmed Ally.

    Ikumbukwe klabu ya Simba inatajwa kumalizana na mchezaji wa Mamelodi Sundowns Neo Maema ambaye ndiye Nahodha wa Afrika Kusini kwenye mchezo wa leo dhidi ya Algeria.

    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleYANGA SC WAPO KAZINI, KUMSHUSHA WINGA WA KAZI
    Next Article LEO NDIO LEO, TANZANIA VS MADAGASCAR CHAN 2024 KWA MKAPA

    Related Posts

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    April 3, 2026

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    April 3, 2026

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    March 31, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.