Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    Facebook Instagram YouTube
    Chikao Media
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAGAZETI YA LEO
    • TETESI ZA SOKA
    • BOXING
    • FORUM
    Chikao Media
    Home » KIUNGO WA KAZI MORICE ABRAHAM ATUA SIMBA
    KITAIFA

    KIUNGO WA KAZI MORICE ABRAHAM ATUA SIMBA

    By AdminJuly 31, 2025No Comments1 Min Read
    Share WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Telegram Email Copy Link
    Follow Us
    Facebook Instagram YouTube
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Copy Link

    Kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Morice Abraham amejiunga rasmi na wekundu wa msimbazi kama mchezaji wao kuelekea msimu ujao wa mashindano akitokea Spartak Subotica ya Serbia kwa mkataba wa miaka miwili.

    Morice ambaye amefanya mazoezi na timu ya Simba mwishoni mwa msimu uliopita ni chaguo la kocha Fadlu Davids baada ya kuridhishwa na kiwango chake.

    Nyota huyo mwenye umri wa miaka 21 amekulia katika Kituo cha kukuzia vipaji cha Alliance Academy cha jijini Mwanza anakumbukwa kuwa na nahodha wa timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ kilichoshiriki AFCON mwaka 2019 ambayo Tanzania alikuwa mwenyeji.

    Follow on Facebook Follow on Instagram Follow on YouTube
    Share. WhatsApp Facebook Twitter Pinterest Email Copy Link
    Previous ArticleLIGI KUU MSIMU WA 2025/2026 KUREJEA RASMI SEPT 16
    Next Article HARAMBEE STARS YAPATA PIGO CHAN, BAADA YA BAJABER KUSAINI SIMBA

    Related Posts

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    April 3, 2026

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    April 3, 2026

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    March 31, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Bernardo Apewa Thank You Rasmi Man City

    Ujenzi wa Arena, Serikali Yatenga Bil400

    Selemani Mwalimu Yupo Anakuja, Mjiandae

    MSIGWA AELEZA SABABU ZA KUONGEZEKA GHARAMA UWANJA WA ARUSHA

    Neymar amuachia Mungu kutoitwa timu ya Taifa

    “Nimehuzunika,Nimeumia lakini ndoto bado inaishi”Neymar Jr.

    © 2026 CHIKAO MEDIA | All Rights Are Reserved
    • Contact Us
    • Privacy Policy

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.